Michezo

VIDEO: Uwanja wa soka wa KMC unaojengwa Mwenge, unatajwa utagharimu Tsh Bilioni 3

on

Club ya KMC ya Kinondoni leo kuitia kwa meya wake Benjamin Sitta imetangaza rasmi mpango wake wa kuhakikisha club yao inakuwa na kiwanja cha kuchezea soka ifikipo 2020, KMC leo wameoneshwa rasmani ya ujenzi wa uwanja wake ambao utaanza kujengwa hivi karibuni katika eneo la Mwenge, ujenzi wa uwanja huo unatajwa kuwa utafikia Tsh Bilioni 3.

VIDEO: Salim Kikeke kafunguka makubaliano yake na MO Dewji ubalozi wa Simba SC

Soma na hizi

Tupia Comments