Top Stories

Huyu hapa mtoto wa kwanza wa Bilionea Laizer aliyeshiriki upatikanaji wa madini ya Tanzanite

on

 


Joseph Laizer ni mtoto wa kwanza wa Bilionea Saniniu Laizer ambaye anasimamia mgodi wa baba yake lakini anasema wakati wa upatikanaji wa madini hayo yenye thamani ya shilingi Bilion 7.8 alikuwepo kwenye machimbo hayo

BILIONEA LAIZER ACHINJA NG’OMBE SITA WATU WALE BURE NYUMBANI,ATAKA KUMUONA RAIS MAGUFULI

Soma na hizi

Tupia Comments