Habari za Mastaa

Huyu ndiye mshindi wa BSS shindano la 12, apewa Milioni 20 (video+)

on

Mshiriki kutoka Dar es salaam, Brayson Yohana ameibuka Mshindi wa Mashindano ya 12 ya Bongo Star Search na kukabidhiwa Tsh. Milioni 20 na zawadi nyingine mbalimbali kutoka kwa Wadhamini tofauti ikiwemo ofa ya kuishi bure kwa mwezi mzima kwenye appartment za Palm Village.

Zawadi hizo amekabidhiwa mbele ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Mechezo Mohamedi Mchengwera ambaye pia ameipa Uongozi wa BSS Tsh. Milioni 5 kama sehemu ya kuwaunga mkono Kwenye kuibua vipaji.

HII NDIO TOP 4 YA BSS WASHIRIKI WAWILI WAAGA SHINDANO

MSHINDI WA BSS AFUNGUKA BAADA YA KUSHINDA MILIONI 20, MADAM RITA AJISIFIA “HII NDIO BSS YANGU BORA”

Soma na hizi

Tupia Comments