Top Stories

“Huyu sio kichaa, nauona uchawi, anaokota Watoto badala ya makopo” RC Mbeya (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amewapokea wazazi pamoja na watoto waliokuwa wameibiwa Mkoani Mbeya na kupatika Tabora amesema Mama aliewaiba kama kweli ni mgonjwa waakili angeokota makopo badala ya watoto.

Aidha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ametangaza kuanza kuhakiki madhehebu yote ya dini na kuliagiza jeshi la polisi kuwasaka na kuwabaini waganga wote wa kienyeji na kuwakamata wanaoenda kinyume na utaratibu

Watoto hawa Farhana na Faisal waliibiwa Desemba 28 mwaka jana katika eneo la Ituha Jijini Mbeya wakati wakiwa nje ya nyumba yao wakicheza.

ALIEIBA WATOTO WADOGO AFUNGUKA “SIKUA NA NIA MBAYA” UKIFANYA UHALIFU MBEYA HUTOTOKA SALAMA”

Soma na hizi

Tupia Comments