Habari za Mastaa

Huzuni kwa Ommy Dimpoz baada ya Simba kufungwa na Yanga SC ‘Bora ningebaki DAR”

on

NI Headlines za Yanga SC ambayo jana ilipata ushindi wa penati 4-3 katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi 2021 visiwani Zanzibar dhidi ya wapinzani wao wakuuSimba FC, Sasa miongoni mwa mastaa waliofika uwanjani hapo na kushuhudia mtanange huo ni mkali kutokea Bongo Flevani Ommy Dimpoz ambae alionekana kupatwa wakati wa Penati.

‘Sina Raha jamani naja bora ningebaki zangu Dar es Salaam’- alisikika Ommy Dimpoz akizungumza maneno hayo wakati akiwa live kupita mtandao wa Instagram huku akitazama mtanange huo.

KAULI YA SALAMA JABIR BAADA KUSHUHUDIA SIMBA FC YAKE IKIFUNGWA NA YANGA SC 

 

Soma na hizi

Tupia Comments