Top Stories

Familia iliyotekwa kwa miaka 5 yaokolewa wakiwa wamezaa watoto 3 matekani

on

Familia ya watu watano raia wa Marekani waliotekwa na wanamgambo waasi wa Taliban nchini Afghanistan mwaka 2012 wameokolewa na jeshi la Pakistan.

Wahanga hao ni Joshua Boyle raia wa Canada na Caitlan Coleman raia wa Marekani ambao walitekwa ikiwa Caitlan ni mjamzito na wakiwa Marekani pia walizaa watoto wengine wawili.

Video ya mwisho ya wawili hao ilitolewa Desember mwaka uliopita ikiwaonesha wakiomba nchi zao kuwaokoa.

Ulipitwa na hii? Waziri Kairuki kataja matano ambayo hatayasahau ktk Wizara ya Utumishi

Soma na hizi

Tupia Comments