AyoTV

VIDEO: Harmonize na Jackline Wolper mapenzi motomoto kwenye birthday party

on

Mwigizaji Jackline Wolper wa bongo movie yuko mapenzini na mwimbaji wa bongofleva Harmonize ambaye anatokea lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz, Jacky na Harmo hawakusita kuonyesha mahaba yao kwenye birthday party ya mtoto wa Mose Iyobo na Aunty Ezekiel.

ULIIKOSA YA MUME KWENDA KAZINI WIFE AKALETA MCHEPUKO NYUMBANI? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUB

Soma na hizi

Tupia Comments