Top Stories

BREAKING NEWS: Waziri Simbachawene ajiuzulu, kaongea yote

on

Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi, Utumishi na Utawala Bora TAMISEMI, George Simbachawene leo September 7, 2017 ametangaza kujiuzulu baada ya kutajwa kwenye ripoti mbili za Kamati iliyoundwa na Bunge kuchunguza biashara ya Madini ya Tanzanite na Almasi.

Hatua ya Simbachawene imekuja baada ya Rais Mgufuli kukabidhiwa ripoti hizo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ikulu Dar es Salaam na kuwataka waliotajwa wajitathmini.

“Sikuja kutafuta Mchumba” – Rais Magufuli

Tupia Comments