Habari za Mastaa

Aunty Ezekiel :”Ila huku tunakoenda dah! wanaume!!”

on

Muigizaji kutoka Bongo Movie Aunty Ezekiel amechukua headlines  katika mitandao ya kijamii baada ya kupost caption ambayo imeacha maswali kwa baadhi ya mashabiki kupitia ukurasa wake wa instagram na wengi kutafsiri hueda akawa kwenye migogoro na baba mtoto wake Mose Iyobo.

 “Sina kawaida ya kuweka Maisha yangu kwenye Mitandao ila huku tunakoendea ? Dah!wanaume!!!!?

Ingawa Aunt Ezekiel ni miongoni mwa waigizaji kutoka Bongo Movie ambao hawapendelei kuweka maisha ya mahusiano yao ya kimapenzi katika mitandao ya kijamii.

Ili kujua kilichomsibu Aunty Ezekiel kuandika hivyo kupitia page yake ya instagram endelea kukaa karibu na Ayo Tv na millardayo.com

“January nime-surrender ” Aunt Ezekiel kafunguka Ugumu wa January

Soma na hizi

Tupia Comments