Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

Richard Mabala kataja njia muhimu za kupunguza mimba za utotoni na ubakaji

on

Mwandishi wa vitabu maarufu hapa nchini Richard Mabala aliyepata umaarufu mkubwa kupitia kitabu chake cha Mabala The Farmer kilichopo katika mitawala ya shule nchini, Richard Mabala amezungumzia masuala mazima ya sheria za ubakaji na namna ya kutatua ndoa za utotoni na mimba za utoto kwa watoto wa kike.

Mabala ameeleza kwanza kabla ya kutatua tatizo hilo tunapaswa kuanza kwa kuwauliza wazazi na mabinti kwa nini wanapata mimba? lakini tumeshajiuliza ni kwa nini baadhi ya wazazi wanashinikiza watoto wao wa kike kuolewa mapema? tukijua hilo ndio tutapata majibu ya tatizo lenyewe.

Mzee Muchacho na Fahad wambananisha Haji Manara avae jezi ya Yanga SC

Soma na hizi

Tupia Comments