Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Simba SC ambaye pia ni muwekezaji wa club hiyo Mohammed Dewji leo alikutana na waandishi wa habari na kuzungumza mambo mbalimbali kuhusiana na maendeleo ya timu yao, MO Dewji amekiri kuwa pamoja na kuingia katika mfumo wa mabadiliko Simba SC bado inaendeshwa kwa hasara kwa sasa.
“Tunashindana na timu zenye nguvu, aliyetoa assist Alexandria kanunuliwa Bilioni 10”-MO Dewji