AyoTV

Meya Jacob kathibitisha ule mtaa bado wa Victor Wanyama kisheria

on

Baada ya kamati ya Kata ya Ubungo ikiongozwa na Meya wa Ubungo Boniface Jacob June 24 2017 kuamua kumpa zawadi ya heshima mchezaji wa Tottenham Hotspurs na nahodha wa timu ya taifa ya Kenya Victor Wanyama jina lake litumike katika mtaa.

Wakati wa game za Sports Extra Ndondo Cup 2017 siku moja baadae kibao kile kiliondolewa kwa madai kuwa meya hakufuata utaratibu, baadae meya Jacob alipohojiwa alieleza kuwa kibao kimefuata utaratibu na watakirejesha tena, leo ikiwa ni miaka miwili imepita, AyoTV imeongea nae tena kama kuna mabadiliko mapya.

Meya Jacob kataja sababu ya kukataa kujengewa ofisi za walimu na RC Makonda

Soma na hizi

Tupia Comments