Mix

DR. Reginald Mengi mafanikio yake yaligusa kila mahali, TAA wamlilia

on

Pamoja na kuwa marehemu Dr Reginald Mengi mafanikio yake yaliwafaidisha watu mbalimbali katika tasnia ya habari, biashara, michezo na jamii kwa ujumla lakini taaluma yake ya masuala ya fedha na Uhasibu ili mfanya kuwa sehemu ya walioanzia Chama Cha Wahasibu Tanzania (TAA) kama sehemu ya kuwafanya watu wa taaluma hiyo kuwa kitu kimoja.

Baraza la uongozi wa Chama Cha Wahasibu Tanzania (TAA) wametoa taarifa za kupokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP CPA DR. Reginald Mengi ambaye alikuwa miongoni mwa wanachama na muanzilishi wa chama hicho Uhasibu Tanzania (TAA).

Atakapozikwa Dr.Reginald Mengi ni hapa “Mwili utawasili Jumatatu” (+video)

Soma na hizi

Tupia Comments