AyoTV

Kocha wa Serengeti Boys Oscar Mirambo kaongea baada ya kipigo 5-4 vs Nigeria

on

Baada ya timu ya Serengeti Boys kucheza mchezo wake wa ufunguzi wa AFCON U-17 dhidi ya Nigeria na kupoteza kwa magoli 5-4, kocha wao mkuu Oscar Mirambo aliongea na waandishi wa habari baada ya timu yake kupoteza mchezo wao wa kwanza.

Kocha Mirambo amekiri kuwa wamepoteza dhidi ya Nigeria ambao waliwazidi japokuwa hali ya umiliki wa mpira haikutofautiana sana, pamoja na hayo kocha Mirambo ameahidi kujitahidi kufanyia marekebisho kikosi chake huku akisema kuwa sehemu ya golikipa imekuwa na changamoto kubwa

Kutokea Algeria, Morocco na Hispania Ulimwengu, Msuva na Chilunda kuhusu Kundi C AFCON 2019

Soma na hizi

Tupia Comments