Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

VIDEO: Taifa Stars walivyowasili ubalozini kwa ajili ya dinner na balozi

on

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars usiku wa July 4 2019 waliondoka nchini Misri na kuanza safari ya kurejea Tanzania, baada ya safari yao katika mbio za AFCON 2019 kumalizika wakiwa wameshika mkia katika Kundi C la AFCON 2019 kwa kupoteza game zao zote tatu.

Tanzania kabla ya kuondoka Tanzania walikuwa na mualiko ubalozini kwa ajili ya kuagwa rasmi na balozi wa Tanzania nchini Misri kabla ya kurejea Tanzania, hivi ndivyo ilivyokuwa kabla ya kuanza safari ya kurejea Tanzania.

VIDEO: Tanzania yatolewa kinyonge AFCON, Hii ndio kauli ya Samatta

Soma na hizi

Tupia Comments