AyoTV

DR. Jonas Tiboroha anarudi Yanga SC, sasa anautaka uenyekiti

on

Katibu Mkuu wa zamani wa Yanga Dr. Jonas Tiboroha ambaye pia ni mwalimu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam, ameanza kampeni zake rasmi kuelekea uchaguzi mkuu wa Yanga SC unaotarajiwa kufanyika Jumapili ya May  5 2019.

Dr. Tiboroha ni miongoni mwa wagombea wa nafasi ya uenyekiti ndani ya Yanga, huku akieleza kuwa ataipeleka club hiyo katika mfumo wa kisasa, utakaoifanya club hiyo kuweza kujiendesha yenyewe pasipokutegemea mfuko wa mtu yoyote, hapa ndio ametaja mambo atakayoyafanya.

Kigezo kilichoichuja Yanga na kuipa Simba SC nafasi ya kucheza na Sevilla ya Hispania

Soma na hizi

Tupia Comments