Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: BREAKING: Ruge Mutahaba afariki dunia
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > BreakingNews > BREAKING: Ruge Mutahaba afariki dunia
BreakingNews

BREAKING: Ruge Mutahaba afariki dunia

February 26, 2019
Share
1 Min Read
SHARE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kwa masikito makubwa, kupitia ukurasa wake rasmi twitter  Rais Magufuli ameandika kuwa Mkurugenzi wa Vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba amefariki dunia.

“Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha kijana wangu Ruge Mutahaba. Daima nitamkumbuka kwa mchango wake mkubwa ktk tasnia ya habari, burudani, na juhudi za kujenga fikra za maendeleo kwa vijana. Poleni wanafamilia,ndugu,jamaa na marafiki. Mungu amweke mahali pema, Amina”

Ruge Mutahaba hadi umauti unamkuta alikuwa akipatiwa matibabu nchini Afrika Kusini, Ruge amekuwa akiugua kwa zaidi ya miezi minne na alianza kupatiwa matibabu Dar es salaam, India na baadae Afrika Kusini, millardayo.com imezipokea taarifa za msiba wa Ruge kwa masikitiko makubwa, siku zote utakumbukwa mchango wa Ruge katika tasnia ya habari na burudani, pumzika kwa amani Ruge.

LIVE MAGAZETI: ‘Wapigaji’ Hatari wadakwa ATCL, Kanisa Katoliki latoa tamko zito

You Might Also Like

Guterres: Kwenye maadhimisho ya siku ya Maji duniani, “mahitaji yanaongezeka tutunze rasilimali za maji”.

WFP, imetangaza kusitisha kutoa misaada ya kibinadamu mashariki mwa Sudan.

Jenerali muhoozi aahidi msaada kwa Marekani kujenga sanamu ya rapa Tupac Shakur.

Bunge la Uganda lapitisha mapendekezo ya kifungo cha miaka 10 kwa wapenzi wa jinsia moja.

UN: Tahadhari juu ya ongezeko la joto Duniani.

TAGGED: TZA HABARI
Rama Mwelondo TZA February 26, 2019
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Ripoti imetolewa ndege aliyopata nayo ajali Emiliano Sala haikuwa ya abiria
Next Article Msimamo wa Maurizio Sarri baada ya kugomewa na Kepa Arrizabalaga
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?