Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Misri imetangaza kumuondoa timu ya taifa Amr Warda leo

on

Kiungo wa timu ya taifa ya Misri na club ya Atromitos Amr Warda leo ameondolewa katika kikosi cha timu ya taifa ya Misri kinachoshiriki AFCON 2019 saa kadhaa kabla ya mchezo dhidi ya Congo DR, Warda ameondolewa katika kikosi hicho kwa utovu wa nidhamu.

Warda inaelezwa kuwa ameondolewa baada ya kuvuja kwa picha yake ya tupu ambayo sio ya maadili ambayo ina ushawishi wa kingono kwa mwanamitindo Merhan Keller kupitia mtandao wa instagram, hivyo Misri wamemuondoa kwa kitendo hicho.

Amr Warda anakuwa mchezaji wa pili katika historia ya Misri kuondolewa katika michuano ya AFCON mapema kwa vitendo visivyofaa, baada ya aliyeondolewa 2000 kwa kosa la utovu wa nidhamu pia, Misri itacheza mchezo wake wa mwisho wa AFCON dhidi ya Zimbabwe.

SIMON MSUVA ATUMA SALAMU KWA RAIS MAGUFULI

Soma na hizi

Tupia Comments