AyoTV

VIDEO: Yanga yakataa uteja, Sibomana afuta makosa Taifa

on

Club ya Yanga SC imekataa kupoteza kwa mara ya pili katika ardhi yake ya nyumbani dhidi ya Township Rollers ya Botswana, baada ya msimu wa 2017/208 kupoteza katika uwanja huo wa Taifa kwa magoli 2-1, ila August 10 2019 wamekataa uteja wa kuendelea kufungwa na kusawazisha dakika ya 86 kwa mkwaju wa penati kupitia kwa Patrick Sibomana na game kumalizika 1-1.

VIDEO: MWALIMU KASHASHA KATOA TATHMINI KWA YANGA HII DHIDI YA TOWNSHIP ROLLERS

Soma na hizi

Tupia Comments