Habari za Mastaa

AUDIO:Waziri Kigwangalla sambamba na Pierre ‘Anachekesha’

on

Waziri wa Maliasili na Utalii nchini Dr. Hamis Kigwangalla ameonyesha msimamo wake kuhusiana na kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu umaarufu alioupata Pierre baada ya kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam aliyoizungumza kuhusu waandishi wa habari kumpa Pierre airtime.

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza alichoongea Dr. Kigwangalla.

DC JOKATE KAMUOMBA MSAMAHA PIERRE NA KUMPA DILI

Soma na hizi

Tupia Comments