Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

VIDEO: Kauli ya Balozi wa Tanzania nchini Kenya Pindi Chana kuhusu Taifa Stars

on

Balozi wa Tanzania nchini Kenya Pindi Chana leo ameipokea timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars iliyowasili nchini Kenya kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Harambee Stars mchezo wa kuwania kufuzu CHAN 2020, AyoTV ilipata nafasi ya kuongea na balozi baada ya Stars kuwasili.

“Jumapili macho yetu yote yapo Taifa Stars ni imani yangu tutaondoka na ushindi wa kishindo nina watakia kila la kheri naimani watafanya vizuri, hali ya hewa ya Nairobi kidogo ni baridi na kwenye baridi wachezaji watacheza vizuri” >>> Pindi Chana

Taifa Stars itacheza mchezo wake wa marudiano na Harambee Stars Jumapili ya August 4 2019, hiyo ni baada ya mchezo wao wa kwanza kumalizika kwa sare 0-0, Taifa Stars ili isonge mbele itahitaji ushindi wa aina yoyote au sare ya kufungana magoli.

VIDEO: Kauli ya Kaseja baada ya kuichezea Taifa Stars baada ya miaka 6

Soma na hizi

Tupia Comments