Habari za Mastaa

Dakika 17 za walioimba ‘Tumeuona Mkono wake Bwana’ ndani ya AyoTV (+video)

on

AyoTV na millardayo.com inakukutanisha na Zabron Singers kutokea Kahama ambao wamepata umaarufu mkubwa kutokana na wimbo wao wa Injili ‘Mkono wa Bwana’ ambao umekuwa ni hit song kwenye sherehe mbalimbali.

Kwenye Exclusive Interview na AyoTV Zabron Singers wamefunguka kuhusu wimbo huo ambao uliachiwa miaka mitano iliyopita kuonekana kupendwa na watu.

VIDEO: ULIPITWA NA MANENO YA KWANZA YA JACQUELINE KWA MUMEWE REGINALD MENGI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments