AyoTV

Kocha wa Simba SC kagoma kuuzungumzia mchezo “Mimi sio kocha wa water Polo”

on

Kocha wa Simba SC Patrick Aussems baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Biashara ameongea kuwa hawezi kuzungumzia chochote kuhusu game hiyo kwa sababu yeye sio kocha wa mchezo wa Water Polo (Mchezo wa mpira wa waogeleaji)

.
Aussems amesema kauli hiyo kutokana na mchezo wa leo kuchezwa huku uwanja ukiwa umejaa maji hivyo mpira ulikuwa hauendi ipasavyo. 

EXCLUSIVE: Msuva kuhusu kitendo cha Salamba kuomba viatu vya Banega

Soma na hizi

Tupia Comments