Top Stories

Wafanyakazi wa shirika la ndege la Ethiopia waomboleza (+video)

on

Inaripotiwa kuwa Wafanyakazi wa Shirika la Ndege la Ethiopia wameomboleza baada ya kuondokewa na Wafanyakazi wenzao nane katika ajali ya Ndege ya Shirika lao iliyoua watu wote 157 March 10,2019.

March 10,2019 kupitia vyombo mbalimbali vya habari vilithibitisha kuwa abiria wote 157 waliokuwa ndani ya ndege ya shirika la ndege la Ethiopia Boeing 737 iliyokuwa ikitoka Adis Ababa kuelekea Nairobi  walifariki dunia kutokana na ndege hiyo kuanguka.

Huku orodha ya mataifa ya watu  waliofariki katika ajali ya ndege hiyo kutajwa ikiwemo Kenya(32), Canada(18), Ethiopia(9), China(8), Italy(8), US(8), Uingereza(7), France(7), Misri(6), Uholanzi(5), India(4),Urusi(3), Morocco(2), Israeli(2), Ubelgiji(1), Yemen(1), Uganda(1), Togo(1), Sudan(1), Msumbiji(1), Norway(1). 

VIDEO: MC PILIPILI AMEJIBU ISHU YA MPENZI WAKE KUDAIWA MJAMZITO

 

Soma na hizi

Tupia Comments