Video Mpya

VideoMPYA: Mabibi na Mabwana ni time ya kuitazama ‘Tell Me’ Jux ft Joh Makini

on

Staa muziki wa Bongofleva Jux baada ya kuachia ‘Zaidi’ leo ameamua kuachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Tell Me’ aliyomshirikisha Joh Makini kutokea Weusi Kampuni, Bonyeza Play ku-enjoy dakika 3 za ‘Tell Me’ ya Jux.

Nay Wa Mitego apigiwa simu na Viongozi, kisa wimbo wa ‘Alisema’

Soma na hizi

Tupia Comments