Michezo

MO Dewji baada ya kufika Liverpool England

on

Mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘MO Dewji’ na muwekezaji wa Simba SC leo amepost picha akiwa Liverpool England na kuandika maneno ya utani kuhusu Liverpool wakati huu timu yake ya Arsenal anayoishabikia ikiwa haifanyi vizuri.

“Kwa yanayoendelea kule kwetu Arsenal nadhani hivi karibuni nitahamia kwa Majogoo FC (@liverpoolfc )šŸ˜Ž (jkšŸ˜‰)ā€¬”>>>MO Dewji

Hii sio mara ya kwanza kwa MO Dewji kutembelea vilabu vikubwa vya soka Ulaya, aliwahi kuitembelea club ya Juventus na kuweka wazi kuwa mpango wake ni kujenga mahusiano kati ya Simba SC na Juventus ambayo yataweza kusaidia kukuza soka letu.

VIDEO: Mpoki alivyomvunja mbavu Rais Mstaafu Kikwete

Soma na hizi

Tupia Comments