Video Mpya

VideoMPYA: Kala Jeremiah amerudi na hii ‘Natabiri” ft Walter Chilambo

on

Msanii wa Hip Hop ambaye ni zao la Bongo Star Search (BSS) Kala Jeremiah amerudi kwenye headlines tena na ngoma yake mpya ‘Natabiri’ aliyomshirikisha Walter Chilambo anayefanya muziki wa Gospel kwa sasa.

Kala ameendelea kuimba nyimbo flani za kuelimisha kiasi cha kuwahi kusifiwa na makamu wa Rais Mama Samia Suluhu.

Duh!! Hili ndio T-shirt shirt lenye thamani zaidi ya Tsh.Millioni 1

Soma na hizi

Tupia Comments