Michezo

VIDEO: Taifa Stars inavyojiaandaa kwenda kupindua matokeo Sudan

on

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ikiwa ni siku moja imepita tokea itangazwe kuwa imeingia kambini kujiwinda na mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliyopo katika kalenda ya FIFA dhidi ya Rwanda October 14 utakaochezwa Kigali Rwanda na mchezo wa kuwania kufuzu CHAN 2020 dhidi ya Sudan.

Leo imeendelea na mazoezi ya kujiweka sawa kuelekea michezo hiyo, asubuhi ilifanya mazoezi ya uwanjani lakini jioni wachezaji walifanya mazoezi ya viungo Gym wakiwa katika kambi yao, Tanzania itahitaji kwenda Sudan kupindua matokeo baada ya mchezo wa kwanza Dar es Salaam kupoteza 1-0.

VIDEO: Goli lililoipa Tanzania Ubingwa wa CECAFA U-20 dhidi ya Kenya

Soma na hizi

Tupia Comments