Michezo

“Humud anataka Wake za Wachezaji wenzake, tumemuondoa” – KMC

on

Club ya KMC ya Kinondoni leo kupitia kwa meneja wa timu hiyo Walter Harrison imetaganza rasmi kuwa,  imeachana rasmi na Mchezaji Abdulhalim Humud baada ya kuomba kuachwa.

Humud ambaye pia alioamba kuachwa KCM FC, ameachwa rasmi na uongozi wa club hiyo kwa utovu wa nidhamu kwa kutenda makosa mawili ya utovu wa nidhamu.

Makosa hayo ni pamoja na kuacha vifaa vya michezo Dar es Saalam wakati wa mchezo dhidi ya Coastal Union na makosa mengine mbalimbali likiwemo la kudaiwa kuwasumbua wake/mpenzi wa wachezaji wenzake ndani ya KMC na nje.

Hakuna anayemkuta Samatta kwa sasa Jupiter Pro League 2018/19

Soma na hizi

Tupia Comments