Habari za Mastaa

Sauti Sol wamtambulisha Msanii wa kwanza ndani ya record label yao (+video)

on

Kutokea Nairobi Kenya kundi la Sauti Sol lililodumu kwa miaka 13  ndani ya muziki limemtambulisha rasmi msanii wao wa kwanza ndani ya record label yao ya ‘Sol Generation Music’.

Msanii Ben Soul ndio msanii wa kwanza kusainiwa na record label hiyo ya ‘Sol Generation Music’ na ameachia ngoma yake ya kwanza inaitwa ‘Lucy’ leo February 26,2019, bonyeza PLAY hapa chini kuitazama.

VIDEO: “UKIANGALIA CLIP YA ROSE MUHANDO UNALIA/ RUGE SIWEZI KUMSAHAU”- HAFSA KAZINJA

Soma na hizi

Tupia Comments