Leo ni Alhamis ya January 18,2018 wengi huiita siku hii Throw Back Thursday yani TBT ambapo hujikumbusha vitu vilivyopita, nimekutana na video clip ya miaka iliyopita ikimuonyesha staa wa Bongofleva Diamond Platnumz akiwa katika show ya utafutaji ili muziki wa Bongo Fleva uweze kufika mbali kimataifa na moja kati ya mashabiki akipigana na mabaunsa ili amshike tu Diamond Platnumz.
Bonyeza PLAY kuona mwanzo mwisho wa tukio hilo.
Stori ya Diamond na Tunda imefikia hapa?