Top Stories

Kubenea awasilisha hoja binafsi Bungeni

on

Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea leo March 11 2018 amekutana na waandishi wa habari ili kutoa ufafanuzi kuhusu hoja binafsi aliyoiwasilisha bungeni. Saed Kubenea amesema amewasilisha hoja binafsi ili kuomba mabadiliko ya katiba kwa lengo la kupata tume huru ya uchaguzi nchini.

Diwani mwingine CHADEMA Arusha amejiunga na CCM

Soma na hizi

Tupia Comments