Video Mpya

VideoMPYA: Harmonize kashirikishwa kwenye hii “Nakupenda” ya muimbaji wa Nigeria

on

Msanii wa kike kutokea Nigeria Iyo ambaye amekuwa akishirikiana na wasanii kutokea Tanzania akiwemo Diamond na Shilole, safari hii kaja na kollabo ya tatu na msanii wa Tanzania ambapo kamshirikisha Harmonize kwenye video mpya ya “Nakupenda”.

AUDIO:Ni kweli Belle 9 kafunga ndoa ya siri?

Soma na hizi

Tupia Comments