Mix

VIDEO: “Nitawashangaa sana Wabunge wakiendeleza ushabiki” – Mbunge Mchengerwa

on

Mbunge wa Rufiji Mohamed Mchengerwa amewaasa Wabunge wenzake kutoshabikia mabadiliko ya sheria itakayowaruhusu wanafunzi waliopewa ujauzito kurejea shuleni akisema kuwa Serikali haitakiwi kuruhusu wanafunzi wanaopewa mimba wakiwa shuleni warejee kwenye masomo kutokana na kukiuka sheria za nchi na maadili.

VIDEO: Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa Ebola 

Soma na hizi

Tupia Comments