AyoTV

VIDEO: Bomoa Bomoa imeikumba Vikawe, Nyumba za Mamilioni zabomolewa

on

Baada ya kuwepo kwa mvutano wa kesi inayodaiwa kudumu kwa zaidi ya miaka 10 ikihusisha uhalali wa umiliki wa eneo la hekari 12 za eneo la Vikawe Bondeno mkoani Pwani, hatimae mamlaka na Mahakama zimefikia maamuzi ya kubariki eneo hilo akabidhiwe mmiliki.

Amri ya Mahakama imeamuru kuwa wavamizi hao waliodai kuuziwa eneo hilo na wavamizi watangulizi, walipewa notisi ya siku 14 kuhama kwa hiari na kubomoa majengo yao, kabla ya leo zoezi la bomoa bomoa kuanza kwa lazima hukulikisimamiwa na askari, mmiliki wa shamba hilo aliongea na AyoTV.

“KABUDI NA MPANGO NIMEWATUKANA PUMBAVU SANA JAPO WANANIZIDI UMRI” RAIS MAGUFULI

Soma na hizi

Tupia Comments