Top Stories

Baraka Magufuli alivyokutana na JPM/ Anaweza kuigiza sauti ya Lowassa ‘Hakunipa kitu’

on

Ayo TV na millardayo.com zinakukutanisha na kijana Baraka Magufuli ambaye amejipatia umaarufu kupitia mitandao ya kijamii kwa uwezo wake wa kuigiza sauti ya Rais JPM. Kupitia mahojiano aliyoyafanya na Ayo TV  ameelezea alivyokutana na Rais JPM Mkoani Iringa hadi kupata nafasi ya kuzungumza.

Bonyeza PLAY hapa chini kuatazama safari yake.

ULIPITWA NA MWIMBAJI NANDY KUMLILIA TENA RUGE “NAKUMBUKA HII SIKU ULINISTUKIZA?” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA.

Soma na hizi

Tupia Comments