AyoTV

VIDEOMagoli: Ushindi wa 4-0 wa Yanga vs Njombe Mji, Obrey Chirwa akipiga hat-trick

on

Yanga wakiwa nyumbani katika uwanja wa Uhuru dhidi ya Njombe Mji wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-0 na kufanikiwa kuvuna point zote tatu, magoli ya Yanga yalifungwa na Obrey Chirwa aliyefunga hat-trick na Emmanuel Martin aliyefunga dakika ya 69.

VIDEO: Okwi amedaiwa kupoteza fahamu uwanjani baada ya kupigwa kiwiko

Soma na hizi

Tupia Comments