Mtu wa karibu na Marehemu Godzilla ambaye pia ni Daktari aliyemfanyia baadhi ya vipimo kabla ya umauti kumkuta amefunguka kuhusu ugonjwa uliokua ukimsumbua Marehemu huku akisema kuwa kiwango cha sukari kilikuwa juu na presha ilikua imeshuka na Marehemu alikuwa akilalamika kuhusu tumbo.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama mwanzo mwisho alichozungumza Daktari huyo.
SHILOLE NA MWASITI WALIVYOINGIA JIKONI KUANDAA CHAKULA NYUMBANI KWA MAREHEMU GODZILLA