AyoTV

VIDEO: Kuna hili la kufahamu kutoka kamati ya uchaguzi TFF

on

Shirikisho la soka Tanzania TFF leo kupitia kwa mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya TFF Ally Mchungahela wametangaza kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi zilizoachwa wazi za wajumbe wa bodi ya Ligi Kuu Tanzania.

Mchungahela licha ya kuulizwa kuhusiana na vipi uchaguzi wa nafasi ya Makamu wa Rais wa TFF utafanyika lini alijibu kwa kifupi kwa sasa anatangaza uchaguzi wa wajumbe wa bodi ya Ligi hayo mengine atayatolea ufafanuzi ukifika wakati wake.

VIDEO: Uamuzi wa Simba SC kuhusu kudaiwa kugoma kwa Mkude, Erasto, Chama na Gadiel

Soma na hizi

Tupia Comments