Video Mpya

VideoMPYA: Tiwa Savage anakusogezea “Get It Now Remix” ft Omarion

on

Leo April 24,2018 staa wa muziki kutokea Nigeria Tiwa Savage anakukaribisha kuitazama ngoma yake mpya “Get It Now Remix” akiwa amemshirikisha mkali kutokea Marekani Omarion.

MSIBA WA MASOGANGE: ‘Shilole ameingia Jikoni kupika ”USTAA PEMBENI’

Soma na hizi

Tupia Comments