AyoTV

VIDEO: Full Shangwe Taifa Stars ikitokea Sudan vigoma ndio usiseme

on

Baada ya ushindi wa 2-1 (agg 2-2) dhidi ya Sudan na kufuzu kucheza fainali za CHAN 2020, haya ndio mapokezi yalivyokuwa baada ya Taifa Stars kuwasili Tanzania wakitokea Sudan.

AUDIO: SERGIO AGUERO WA MAN CITY AMEPATA AJALI

Soma na hizi

Tupia Comments