Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Aunt Ezekiel kavunja ukimya amejibu haya kuhusu kuachana na Mose Iyobo

on

Ni baada ya headlines nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mwigizaji wa Bongomovie Auntie Ezekiel kudaiwa kuachana na mzazi mwenzake Mose Iyobo, sasa leo kupitia AyoTV na millardayo.com Aunt ameulizwa kuhusu rumors hizo zinazoendelea mtandaoni.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Aunty Ezekiel akielezea

VIDEO: DJ Fetty kafunguka kurudi tena kutangaza

Soma na hizi

Tupia Comments