Habari za Mastaa

Nyoshi baada ya kusikia matokeo ya uchaguzi Congo “Siwezi rudi hapa ndiyo nyumbani”

on

Msanii Nyoshi El Sadat amezungumza na millardayo.com na AyoTV baada ya matokeo ya awali ya uchaguzi uliofanyika Jamhuri ya Kidemocrasia ya Congo ambapo Mgombea wa upinzani Felix Tshisekedi Tshilombo amekuwa akiongoza mpaka sasa ambapo amepata zaidi ya kura Milioni  7.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMSIKILIZA NYOSHI AKIZUNGUMZA.

VIDEO: MENEJA MANENO NA LABEL MPYA ‘IS-BAH ENTERTAINMENT’, KAFUNGUKA

Soma na hizi

Tupia Comments