Habari za Mastaa

VIDEO: Steve Nyerere amewaongoza wasanii kumuona mtoto Hamisi anayesumbuliwa na miguu

on

Siku ya leo February 21, 2019, Steve Nyerere amewaongoza baadhi ya wasanii wa Bongomovie kwenda kumtembelea mtoto Hamis Hashim ambaye amekuwa akijiuguza kwa muda mrefu kutokana na hali yake ya kuvimba miguu yote miwili inayomfanya ashidwe kutembea licha ya kuwa mwaka 2013 aliwahi kupelekwa India kwa ajili ya matibabu lakini toka amerejea hali imeendelea kuwa mbaya zaidi ya ilivyokuwa awali.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO

VIDEO: KWA UNYONGE MTOTO HAMISI KAZUNGUMZA “NATESEKA, BADO MDOGO, NAHITAJI KURUDI SHULE”

Soma na hizi

Tupia Comments