Habari za Mastaa

VIDEO: ‘Siwezi kujichubua huo muda sina, Bongomovie wakongwe wanasumbua sana location’

on

Pancho Mwamba amehojiwa na AyoTV na millardayo.com kuhusu baadhi ya wasanii wamuziki wa dance kutumia mkorogo na baadhi yao kukiri kuwa ni kweli wanatumia mkorogo ambapo Pancho amesema hiyo ni hulka ya mtu ila kwa yeye hawezi kujichubua na hana muda huo.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO.

VIDEO: Alichojibu Gabo kuhusu watoto kushinda tuzo ya mwigizaji bora ‘kamwene’

Soma na hizi

Tupia Comments