Habari za Mastaa

Chege adaiwa kuiba jina la staa wa Bongomovie

on

Jina ni kitu ambacho humtambulisha mtu na kumtofautisha na mtu mwingine ambapo mara nyingi hasa katika sanaa kila mtu ama huchagua au kuchaguliwa jina na ili kuwa tofauti halitakiwi kufanana.

Leo July 8, 2017 moja ya stori zinazo-make headline ni hii ya mwimbaji wa Bongofleva Chege kudaiwa kuiba jina la mwigizaji wa Bongomovie.

“Wimbo wa Ommy Dimpoz ni mali yangu” – Producer Abydaddy!!!!

Soma na hizi

Tupia Comments