Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

“Watu wanalia machozi, Serikali inasema mambo ya kilimo” – Mbunge Sakaya

on

Mbunge wa Kaliua Magdalena Sakaya alikuwa ni miongoni mwa Wabunge waliosisimama Bungeni leo November 8, 2018 wakati wa kuchangia mapendekezo ya mpango wa maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2018/19 ambapo alilieleza Bunge kuhusu changamoto wanazokutana nazo wakulima huku Serikali ikishindwa kuzitatua.

Ulipitwa na hii? Waziri Mwijage afunguka baada ya Rais Magufuli kumchallange kuhusu viwanda

Soma na hizi

Tupia Comments