Habari za Mastaa

VIDEO: Alikiba na Abdukiba walivyomzika Baba yao makaburi ya Kisutu DSM

on

Leo January 17, 2018 Baba mzazi wa Alikiba na Abdukiba amezikwa katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam na kuhudhuliwa na watu mbalimbali wakiwemo watu maarufu kama Dkt. Kigwangala, Mr Blue, Dully Syeks, Mwana FA na wengine wengi.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama ALIKIBA na ABDUKIBA wakimzika Baba yao.

Soma na hizi

Tupia Comments