AyoTV

DR Tulia ameguswa na mtoto aliyevunjika uti wa mgongo Mbagala

on

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Dr Tuli Ackson leo kupitia taasisi yake ya Tulia Trust ametoa msaada wa Tsh milioni 33 kwa kijana Amos aliyepata matatizo ya uti wa mgongo baada ya kuanguka kutokea juu ya mti, baada ya kupata msaada huo kijana huyo ataenda India kupatiwa matibabu kwa wiki moja.

Dr Tulia ametoa hundi ya pesa hizo sambamba na tiketi tatu za kwenda na kurundi India ambapo atakwenda kutibiwa Amos ambaye anasumbuliwa na uti wa mgongo, Amos anaenda kupatiwa matibabu zaidi katika hospitali ya Neuro Gen Brain & Spine nchini India, safari wataanza March 3 2019 kuelekea India.

LIVE MAGAZETI: Ni Majonzi, Mwamba Umeanguka, Ruge afariki dunia

Soma na hizi

Tupia Comments