Habari za Mastaa

Ukiangalia clip ya Rose Muhando unalia/ Ruge siwezi kumsahau – Hafsa Kazinja

on

AyoTV na millardayo.com imefanya mahojiano na mwimbaji aliyekuwa kwenye muziki wa Bongo Fleva Hafsa Kazinja na ameongelea mchango wa Mkurugenzi na mzalishaji wa vipindi Clouds Media Ruge Mutahaba katika maisha yake ya muziki na anamuombea apone.

Hafsa Kazinja ambaye kwa sasa anafahamika kama ‘Christine’ baada ya kuhamia kwenye muziki wa Gospel amegusia ishu ya Rose Muhando kuonekana akiombewa nchini Kenya, Bonyeza PLAY kutazama alichozungumza.

VIDEO: MAPOVU YA MASTAA JUU YA USHINDI WA MWIGIZAJI BORA WAKIKE & WAKIUME ‘KAMWENE’

Soma na hizi

Tupia Comments